Kutoka kwa CEO wa African Boy na mwanamuziki @juma_jux amedai kuwa yeye si mpenzi wa kusikiliza nyimbo za wasanii wapya wa kizazi hiki na badala yake husikiliza zaidi nyimbo za wasanii wa R&B wa zamani kama R.Kelly, hivyo kwenye simu yake hakuna wimbo wowote wa @rotimi , ambae ni mpenzi wa aliyekua mpenzi wake wa zamani @vanessamdee .
Jux ameeleza hayo kupitia kipindi cha XXL' ambapo alitakiwa kujibu swali la shabiki alietakakujua kama kwenye simu yake kuna playlist ya ngoma za msanii huyo anaefanya vizuri na ngoma yake ya 'meeting in my bed'