Madaktari Nchini Uganda Wathibitisha Mfanyakazi wa Ndani Aliyeondolewa Figo na Mwajiri Wake Bila Kujua




Madaktari nchini Uganda wamethibitisha kuwa mwanamke aliyekuwa akifanya kazi za nyumbani nchini Saudi Arabia, aliondolewa figo yake ya kulia na sio ajali ya gari kama ilivyoarifiwa awali na mwajiri wake.

Wizara ya mambo ya ndani nchini humo imethibitisha hilo baada ya kupewa ripoti ya uchunguzi kutoka Hospitali kuu ya kitaifa ya Mulago.

Uchunguzi wa awali wa Polisi umetambua muajiri wake wa nchini Saudi Arabia kwa jina la Sadaffa Muhamed na alitoa ripoti bandia za kitabibu kuwadanganya wanafamilia ya muathiriwa.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad