Seems like Yesterday! Siku ile tulipoamua kwenda kwenye madhabahu na kufanya hili jambo liwe takatifu. Utukufu kwa Mungu aliyeruhusu yote.
Baada ya mwaka huu mmoja wa ndoa, napokea swali kutoka kwa wadogo zangu wakiniuliza “Kaka ndoa vipi? Tuoe?”. Bila shaka yoyote nawajibu “Kama mnapendana, kama mnajuana vizuri na kuelewana, OANENI, Ndoa ni jambo jema sana unapokuwa na mtu sahihi kama niliyemuoa mimi”.
.
Majibu hayo nayatoa kwa sababu mke wangu Eliza ni mke mwema, ni alama ya wanawake wema waliopo. Asante @elizabethmichaelofficial kwa kuwa mke wangu na Mama wa watoto wangu, asante kwa kuwa alama njema ya ndoa : #HappyAnniversary #MamaG.