Mange Kimambi "Nimeolewa Mimi Sina Mama Wala Baba Lakini Dr Mwele Alisimama Kama Mama yangu"




Mimba ya Kenzo yooote nilikaa kwake, alisema nikae Dar mpaka mimba ikomae ndo niende kwa mume Dubai, mume alikuwa ana kazi ya kuja Dar karibia every weekend. Nimekaa Tanzania na mimba ya Kenzo toka day one mpaka mimba ina miezi 7 inaenda 8 ndo akaniruhusu niondoke. Na kabla sijaondoka na baby shower alinifanyia Na nimejifungua alikuwa London kikazi, then sijui nchi gani, ila alikuja straight Dubai kutoka huko Europe utasema mimba ya kwanza kumbe mtu nishakuwa mzoefu nazaa mtoto wa pili. Guys niacheni nilie!!


Nimeolewa mimi sina mama wala baba wote walikuwa wameshafariki ila hata dakika moja sikufeel kama sina wazazi. Hiyo yote ni sababu ya Dr. Mwele na Baba yangu mkubwa. Dr Mwele alisimama kama mama na alinifanyia kitchen party, yani alihakikisha naolewa kama mtu mwenye mama yake mzazi.

Ni birthday yake ya mwaka jana ndo alifind out nilichofanya mpaka yeye na mwanangu Keanu wakawa na birthday moja. Nilimuomba Dr. anizalishe 8 days before due date ili tu Keanu ashare birthday na Dr. Mwele na sikuwahi kumwambia mtu mpaka mwaka jana ndo nikaandika humu insta. Alipata shock akasema wewe ulitaka kuniumizia mume wangu kisa birthday tu? Nikamwambia nilikuwa nahope akizaliwa same day na wewe labda atakuwa even half the person that you are. Nilimdanganya Dr. naskia maumivu sijui nini ndo akanitia maji ya uchungu tarehe 25 March, tarehe 26 nikajifungua.


Mwanzoni kabisa nilivyomfahamu Dr Mwele nilianza kujaribu kuwa kama yeye ila baada ya muda mfupi niligive up. Jamani the woman was pure perfection. Hana baya, not one bad bone in her body.Kama Kuna binadamu ataenda mbinguni ataanza yeye sisi wengine tutafata. She was classy, elegant, kind, nurturing, full of empathy, full of integrity. Yani akifungua mdomo aongeee all you hear is intelligence, humbleness, exposure to the world.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad