Marekani Yatangaza Zawadi ya TSH Bilioni 11.5 Kwa Atakayefanikisha Kukamatwa Kwa Joseph Kony



Marekani imetangaza dau la Dola milioni 5 sawa na takriban Tsh. Bilioni 11.5 kwa atakayetoa taarifa zitakazofanikishwa kukamatwa kwa Kiongozi wa Waasi Nchini #Uganda, Joseph Kony.

Joseph Kony ni kiongozi wa Kundi la Waasi la LRA lililoanzishwa tangu Miaka ya 1980, na amesababisha mauaji ya Watu zaidi ya 100,000

Rekodi za Mahakama ya Uhalifu ya Kimataifa (ICC) zimeonesha Kony anawatumia Watoto katika kupata wapiganaji wake. Akikamatwa atashtakiwa kwa makosa 12 dhidi ya Binadamu na makosa 21 ya uhalifu wa Kivita

DOWNLOAD HAPA BURE APP YA UDAKU SPECIAL KWENYE SIMU YAKO UPATE UHONDO ZAIDI

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad