Manchester United imewaruhusu Mashabiki wake kurudisha jezi za Greenwood na kubadilishiwa bure kufuatia tuhuma za ubakaji na unyanyasaji zinazomkabili mshambuliaji huyo.
Kulingana na taarifa kutoka kwenye tivuti yao inaelza kuwa ️ "Mashabiki ambao wanamenunua jezi zenye jina la Mason Greenwood wanaruhusiwa kurudisha na kubadilishiwa bure."
Greenwood kwa sasa ameachiliwa kwa dhamana baada ya kukaa sero kwa siku tatu, huku klabu yake hiyo iko mu- unfollow katika mitandao yake ya kijamii pamoja na baadhi ya makampuni makubwa yaliyokua yakimdhamini kuvunja nae mkaba.