Mashambulizi Yapelekea Maelfu Kukimbilia Nchi Jirani Ukraine



Zaidi ya Raia 150,000 wa #Ukraine wamevuka Mipaka kuingia Mataifa jirani katika upande wa Magharibi kutafuta usalama, wakati Urusi ikishambulia Mji Mkuu wa Nchi hiyo pamoja na Miji mingine kwa mashambulizi ya angani
-
Idadi kubwa ya waliowasili katika mataifa jirani ni Wanawake, Watoto na Wazee baada ya Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy kuwapiga marufuku Wanaume wenye umri wa kujiunga na Jeshi kuondoka


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad