Mbunge wa Ilala Mussa Azzan Zungu amechaguliwa kuwa Naibu Spika mpya wa Bunge


Mbunge wa Ilala Mussa Azzan Zungu amechaguliwa kuwa Naibu Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akichukua nafasi iliyoachwa na Dr. Tulia Ackson aliyejiuzulu nafasi hiyo na baadae kuchaguliwa kuwa Spika wa Bunge.

Uchaguzi huo umefanyika leo Ijumaa February 11 2022 bungeni jijini Dodoma ukiongozwa na Spika wa Bunge, Dr. Tulia Ackson, Mussa Azzan Zungu amepata kura za ndio 296 sawa na asilimia 98.33, kura za hapana ni kura 3 na zilizoharibika ni 2.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad