Mishahara Yanga SC kwa mwezi milioni 450



 
Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Dkt. Mshindo Msola amesema kuwa alipoingia madarakani alikuta jumla ya mishahara ya wachezaji na wafanyakazi wa timu hiyo ni shilingi milioni 40 kwa mwezi lakini kwa sasa wanapokea jumla ya mshahara ya shilingi milioni 450 kwa mwezi hii ni kutokana na kuongezeka wa wadhamini wa klabu.


Ameyasema hayo wakati akiongea na wanachama wa klabu ya yanga wilayani Babati mkoa wa Manyara wakati akiwa katika ziara yake ya kutembelea matawi yaliyopo nchini.

Pia amesema kuwa wanayanga wapo wengi sana lakini hawaisadii timu wanachotaka wao muda wote ni furaha tu si vinginevyo.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad