Miss Ukraine Nae Atangaza Kuingia Vitani.....


Wakati mapigano ya wanajeshi wa Urusi na Ukraine yakiendelea, mshindi wa taji la Miss Ukraine mwaka 2015, Anastasia Lenna ametangaza kuingia vitani kusaidia nchi yake


Anastasia kupitia ukurasa wake wa instagram ame-post video na picha akiwa anajifunza kutumia bunduki na kusema yoyote atakaevuka mipaka atauawa.


Aidha ametawaka wanajeshi wa Ukraine waziondoe alama za barabarani ili kupoteza mwelekeo kwa wanajeshi wa Urusi wakitembea ndani ya nchi hiyo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad