Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo Afunguka Kwa Mara ya Kwanza Baada ya Soko la Mbagala Kuungua Moto


Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo @jokatemwegelo amesema tayari wameunda Kamati ya kuchunguza chanzo cha kuungua kwa Soko la Mbagala rangi tatu usiku wa kuamkia leo February 13,2022.

"Tumeunda Kamati ya kuchunguza chanzo cha moto na tumeipa siku tatu hadi nne, kikubwa tumetoa maelekezo kwa Manispaa Kamati ya uchunguzi ikimalizika kazi Wafanyabiashara waruhusiwe kurudi Sokoni kufanya biashara huku ikiwekwa mipango ya kukarabati na kuboresha Soko hilo"
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad