Mo Dewji Aagiza Simba Kushusha Viingilio vs Asec Mimosas



Mwekezaji kunako Klabu ya Simba Mohammed Dewji “Mo Dewji” ameiagiza Klabu ya Simba kushusha Viingilio kutoka Elfu 5000 mpaka Shilingi elfu 3000, katika mchezo wake dhidi ya Asec Mimosas kutoka nchini Ivory Coast.

Mo ametoa kauli hiyo hii leo alipotembelea Kambi ya Simba na amesema lengo kubwa ni kuwapa fursa Mashabiki kujaa Uwanjani kuja kuisapoti timu kwani bila Mashabiki hakuna Simba.

Hapo awali viingilia katika Mchezo huo unaokwenda kupigwa Februari 13,
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad