KIUNGO mshambuliaji wa Kimataifa Raia wa Ghana, anayekipiga ndani ya Klabu ya Simba, Bernard Morrison imemsimamisha kwa utovu wa nidhamu.
Habari za kuaminika kutoka ndani ya Simba zinaeleza winga huyo amesimamishwa kwa sababu ya utovu wa nidhamu, kutokuelewana na viongozi wa Simba.
Taarifa hizi zinachochewa zaidi na kukosekana kwake katika mchezo wa Jana dhidi ya Tanzania Prisons licha ya kuwa hakua na matatizo yoyote ya kiafya. Mara Kadhaa Morisson ameshaingia katika migogoro na viongozi wa vilabu vya Simba na Yanga.
Kupitia mtandao wake wa Instagram na Twitter, Morisson ameandika;
“Jambo kubwa linakwenda kutokea, unaweza kuhisi ni nini???????
Soma hapa chini uone alichoandika.