Mwalimu wa Mafundisho Kanisani Akamatwa Kwa Kulawiti Watoto Wanne




Jeshi la Polisi limemkamata Mwalimu wa Mafundisho ya Dini katika Kanisa la Katoliki Mpanda Mjini, Joseph John (27) akituhumiwa kuwalawiti Watoto wanne

Kamanda wa Jeshi la Polisi, ACP Ally Makame amesema mtuhumiwa ametenda kosa hilo maeneo tofauti na alikuwa akiwalaghai Watoto hao wamsindikize kwenda kufanya shughuli za Biashara sehemu tofauti

Alikuwa anawabeba kwenye Pikipiki yake baada ya kumaliza vipindi vyao vya Masomo ya Kidini kisha kuwafanyia ukatili huo


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad