No title

Mwanamuziki Kutoka WcB wasafi @rayvanny ameonesha kutopendezwa na mtangazaji @jumalokole_02 katika kile alicho kita kuto muheshimu mama mtoto wake @fahyvanny 

Kupitia insta yake @rayvanny ameandika mfululizo wa ujumbe unao onesha kukasirishwa na mtangazaji huyo wa kipindi cha MashamSham kwa kumtaka kutovuka mipaka na kumuheshimu mama wa mtoto wake ,kiasi cha yeye anavyo muheshimu.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad