Mwingine Ajinyonga Mpaka Kufa Kisa Amepimwa na Kukutwa na Ukimwi


Sophia Charles Odipo mwenye umri wa miaka 23 Mkazi wa Mseto amefariki baada ya kujinyonga chanzo kikiwa ni baada ya kwenda Hospitali kupima afya yake mara mbili na kugundulika ana maambukizi ya Virusi vya UKIMWI.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Henry Mwaibambe amesema "Huyu Dada alijinyonga kwa kamba mpaka kufa chumbani kwake baada ya kwenda Hospitali na kugundulika ana maambukizi ya UKIMWI"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad