Wa Muziki @officialzuchu Akiwa Kwenye Interview Ya #Lavidavi (@wasafifm) na @divatheebawse Amefunguka Kiasi Cha Kodi Anacholipa Katika Mjengo Wake Wa Thamani
#Zuchu Amesema Kwamba Kwa Mwezi Analipa Dollar Za Kimarekani $1600 Ambazo Ni Sawa na TSH.3,700,800
Hivyo Kwa Thamani Hiyo Inafanya Kuwa #Zuchu Kwa Muda Wa Miezi 12 Analipa TSH.44,400,000/=
3,700,800 × 12 = 44,400,000