Poshy QEEN "Kuzaa Mtoto Kumeniongezea Uzuri, Nimenoga Kama Mcharo"


MWANAMAMA ambaye alipata umaarufu kutokana na umbo lake matata la nyingu kwenye mitandao ya kijamii Bongo, Jacqueline Obedi almaarufu Poshy Queen anasema kuwa, tangu amejifungua mtoto wake wa kwanza, amezidi kuwa mrembo, tofauti na hata alipokuwa hajajifungua.

Akizungumza na Gazeti la IJUMAA, Poshy anasema kuwa, watu wengi wanadhani unapopata mtoto, basi mwili unaharibika, lakini ukweli ni kwamba ukizaa na ukajikubali mwili unakuwa mzuri na unaongezeka mvuto.

“Tangu nimejifungua kwa kweli siku hadi siku naona kabisa mvuto umeongezeka sana, maana wengine walikuwa wanasema nikijifungua nitaharibika, lakini ukweli ni kwamba tangu nijifungue nimezidi kuwa bomba sana na ninavutia tu tofauti hata na mwanzo,” anasema Poshy ambaye ni mama wa mtoto mmoja. Reposted from @2jiachie MWANAMAMA ambaye alipata umaarufu kutokana na umbo lake matata la nyingu kwenye mitandao ya kijamii Bongo, Jacqueline Obedi almaarufu Poshy Queen anasema kuwa, tangu amejifungua mtoto wake wa kwanza, amezidi kuwa mrembo, tofauti na hata alipokuwa hajajifungua.

Akizungumza na Gazeti la IJUMAA, Poshy anasema kuwa, watu wengi wanadhani unapopata mtoto, basi mwili unaharibika, lakini ukweli ni kwamba ukizaa na ukajikubali mwili unakuwa mzuri na unaongezeka mvuto.

“Tangu nimejifungua kwa kweli siku hadi siku naona kabisa mvuto umeongezeka sana, maana wengine walikuwa wanasema nikijifungua nitaharibika, lakini ukweli ni kwamba tangu nijifungue nimezidi kuwa bomba sana na ninavutia tu tofauti hata na mwanzo,” anasema Poshy ambaye ni mama wa mtoto mmoja.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad