Producer S2Kizzy "Nipeni Heshima Yangu Ninayostahili"



Baada ya kuhusika na utayarishaji wa ngoma kubwa ambazo zina mafanikio makubwa katika historia ya muziki nchini, mtayarishaji wa Muziki S2kizzy amesema anatakiwa kupewa heshima anayostahili

Kupitia insta-story yake S2kizzy ameandika
“GIDI ya @diamondplatnumz Nyimbo ya kwanza katika historia kuonyeshwa kwenye @recordingacademy
GRAMMY

TETEMA ya @rayvanny nyimbo ya kwanza kuruka katika maonyesho ya @mtv EUROPE

Zote zikiandaliwa na mimi na nyingine nyingi zinakuja

Mnipe heshima ninayostahili mkitaja jina langu” - @s2kizzy


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad