Rais Samia Awasili Paris Nchini Ufaransa



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili Paris nchini Ufaransa kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali utakaojadili kuhusu rasilimali bahari duniani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili Paris nchini Ufaransa kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali utakaojadili kuhusu rasilimali bahari duniani.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad