Rais Samia..Wanasiasa Watanzania Hawaishi Kwa Mashaka, Hakuna Hata Aliyeumwa na Sisimizi



Rais Samia Suluhu Hassan akiwa katika mahojiano na Idhaa ya Kiswahili ya DW amesema Wanasiasa wa Upinzani wako wengi Tanzania na hakuna anayeishi kwa mashaka hivyo Tundu Lissu aulizwe mashaka yake ni yapi

Aidha, kuhusu kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema tuiachie Mahakama itoe Uamuzi kwa kuwa Watu wanasema mengi na hawezi kutolea ufafanuzi kila kitu.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad