Mwanamuziki Kutoka WcB wasafi @rayvanny ameonesha
kutopendezwa na mtangazaji @jumalokole_02 katika kile alicho kita kuto muheshimu mama mtoto wake @fahyvanny
Kupitia insta yake @rayvanny ameandika mfululizo wa ujumbe unao onesha kukasirishwa na mtangazaji huyo wa kipindi cha MashamSham kwa kumtaka kutovuka mipaka na kumuheshimu mama wa mtoto wake ,kiasi cha yeye anavyo muheshimu.