Rosa Ree Aingia Location Picha Hizi Akiteswa na Mzungu Huenda Nyimbo Mpya Karibuni



Huenda Rapper wa Kike Tanzania Rosa Ree aka Goddess ameingia location kutuandalia kitu Kipya, Tumezipata Picha Hizi zikionesha Akiteswa Kama mfungwa au mtumwa huku Mzungu Akiwa Pembeni yake na kijana Mmoja akimchapa kwa mjaledi


Rosa Ree hivi Karibuni alishiriki kwenye show inayoitwa 90 days Fiancee ya Marekani na kumpatia Kiki ya kutosha huko USA 


Pia Rosa Ree katika Interview mbali mbali amegusia Kutoa Album yake Mwaka huu

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad