Shaffih Dauda "Narudi Kufanya Kazi za Uandishi wa HABARI Leseni yangu Umetoka TCRA"


"Nimepokea taarifa kama ilivyotangazwa, Naiendesha akaunti kama Taasisi inayofanya kazi na watu wengi, Nimejaribu kuwaambia jinsi ninavyofanya kazi, Binafsi sina shida na yeyote, Sioni kama kuna nililopoteza.

Sasa narudi kufanya kazi za Uandishi wa Habari, Kwanza nitakuwa huru kama Mwanahabari, Nitaendelea kufanya kazi zangu maana leseni yangu ya Maudhui imetoka TCRA. Wao (TFF) watani'contor katika masuala ya kiuongozi, lakini sio masuala yangu mengine binafsi" - Shaffih Dauda

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad