Spika wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Ackson Ajibu Kuhusu Bunge Kurushwa Live


Spika wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Ackson akijibu maswali ya Wahariri wa Vyombo vya Habari wakati wa mazungumzo yaliyofanyika leo Februari 14, 2022 jijini Dodoma amesema kuwa watafuatilia sababu zilizofanya Bunge Live kutokuwepo na kuongeza kuwa watazungumza na Waziri wa Habari, Nape Nnauye kuona namna ya kulifanyia kazi suala hilo.

“Hilo ni jambo la kujadiliana Ili kuweza kurusha Bunge live tutaongea na Waziri wa Habari kuhusu suala hili, lakini pia ushirikiano kati ya Bunge na wanahabari ni lazima sio kila habari inatakiwa kuchukuliwa lazima tuangalie ni kitu gani tunawafikishia hao wananchi,” Spika Tulia.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad