Tundu Lissu "Kufuta Kesi ya Mbowe sio Kuingilia Uhuru wa Mahakama"



Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema suala alilomuomba Rais Samia la kufuta kesi ya Mbowe sio kuingilia Uhuru wa Mahakama, wanaweza kufanya kama walivyofuta kesi ya Masheikh wa Uamsho

Amesema hayo katika mahojiano na Kituo cha VOA akifafanua hajamwambia Rais aongee na Jaji bali Mwendesha Mashtaka ambaye ni mteule wa Rais na anafanya kazi kama sehemu ya Serikali Kuu na sio sehemu ya Mahakama.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad