Umber Lulu Achafukwa "Nimezaa Kwa Hiara yangu Mwenyewe Mlitaka Nisifanye Kazi Nikajiuze"


Unajua nimeona comment zenu nyingi kuhusu mimi kufanya video ya Anjella, nafanya kila kitu ambacho kitaniingizia pesa halali, kumbukeni mimi ni mama naelea mtoto wangu mwenyewe, kwa hivyo niko tayari kwa lolote ili mwanangu aishi maisha mazuri na bora zaidi kuliko mimi - Amber Lulu.

Kwa hivyo nimelipwa, nikatae pesa kwa sababu nashusha brand huku mwanangu analia njaa?, kama wewe ni mwanamke na single mother unanielewa au mnataka mje mnichangie insta au niwalilie humu insta kwani nimewazalia insta - Amber Lulu.

Nilizaa kwa mapenzi yangu mwenyewe mambo ya kujiliza liza sio vitu vyangu ile ni kazi na nimepata pesa ama mlitaka nikauze mwili wangu? - Amber Lulu.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad