Unaambiwa Ukimdhalilisha Mtu Mtandaoni Bongo Akikushtaki Faini Milioni Tano au Jela Miaka Mitatu
0Udaku SpecialFebruary 03, 2022
UNAAMBIWA: Sheria ya Makosa ya Mtandao (2015) inaeleza kuwa ni kosa kwa Mtu yoyote kufanikisha utumwaji au kutuma maudhui yoyote ya kidigitali yenye kumdhalilisha/ kuumiza hisia Mtu mwingine, adhabu yake ni faini isiyopungua Tsh. Milioni 5 au kifungo kisichopungua miaka mitatu au Jela au vyote.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE