Wafanyakazi wa Azam Media Waliopata Ajali Wafikishwa Muhimbili



MAJERUHI wa ajali iliyotokea jana huko Kitonga ambapo miongoni mwao walikuwemo wafanyakazi 12 wa Azam Media wamepokelewa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere na kupelekwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kuendelea na matibabu na wote hali zao zinaendelea vizuri.


Uwanjani hapo majeruhi hao wamepokewa na viongozi waandamizi wa Azam Media Limited, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye na Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo.
Azam Media LTD inawashukuru Watanzania wote waliojitoa kiwasaidia waathiriwa wa ajali hii.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad