Wajue Waingiza Wakike 10 Bora Bongo Movies wa Muda Wote


NYOTA ni kitu kikubwa ambacho watu wengi wangetamani kuwa nacho, lakini Mungu hakufanya hivyo kwa kila mwanadamu, bali alitoa zawadi hiyo kwa baadhi ya watu tu.

Ni zaidi ya miaka 20 sasa tangu kuasisiwa kwa Bongo Movies.

Zamani kulikuwa na mastaa wengi kama Mzee Jangala, Mama Haambiliki, Waridi, Nora, Nyama Yao na wengineo, lakini wengi wao ni kama wamesahaulika.

Listi ya mastaa wa kike kumi ambao tangu miaka hiyo mpaka sasa bado wanawika masikioni mwa watu na huko mitandaoni ndiyo usiseme.

1.WEMA SEPETU
2.ELIZABETH MICHAEL ‘LULU’

3.IRENE UWOYA

4.JACQUELINE WOLPER

5.RIYAMA ALLY

6.YVONNE CHERRIE ‘MONALISA’

7.KAJALA MASANJA

8.ROSE NDAUKA

9.BLANDINA CHAGULA ‘JOHARI’

10.AUNT EZEKIEL

Tuambie wewe una mkubali zaidi nani kati ya hawa?

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MSANII AMBAE MIMI NAMPENDA MPAKA NAMZIMIA MWANZO MWISHO NI RIYAMA ALLY

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad