Wakazi Atoa Mapendekezo take Vipengele vya Tuzo Tanzania



Kwa asilimia kubwa vipengele vya Tuzo viko sawa, ila kuna mapungufu madogo lakini makubwa kutokana na impact yake kwenye tasnia.

Ila Pia kutokana na wengine kutoalikwa kwenye Utambulisho wa Tuzo hizo, hatujui Structure ya Mchakato jinsi ilivyo (voting system, calendar year, transparency, academy, judging, etc). Kingine, hili swala linahitaji Weledi, Taaluma na Uzoefu hivyo sidhani kama ni sahihi kusema tu mtu yeyote atume maoni yake kwaajili ya maboresho. walihitaji kuwa na Mining Workshop ya select individuals ambao wanauelewa, expertise na exposure ya issue hii ilikupata kitu cha uhakika. Ila maoni yangu ni kama yafuatayo;

ALBUM BORA
Hakuna kipengele cha album bora (LP & EP), na kwenye specific Category za Hip Hop maybe ya Mixtape Bora!
Tumepambana kurudisha hadhi za album katika Miaka hii ya karibuni, ila Tuzo zimejikita kwenye ku acknowledge na kuzawadia SINGLES tu bila ALBUM. This will set a bad precedent to artists na kuturudisha nyuma 10 years.
Sitotarajia Msanii Bora wa Mwaka ashinde mtu mwenye single kali redioni au Disco, alafu awe hana full body of work, kwenye calendar year.

MTUMBUIZAJI BORA (BEST PERFORMING ARTIST)
Yaaani unawekaje MNENGUAJI BORA na VIDEO VIXEN Category alafu unaacha kuweka “Best Performing Artist”
Again hii nayo itaweka bad precedent, na itaturudisha nyuma. Ni dharau kuto acknowledge Artist who put blood, sweat & tears kwenye Stage na kutoa Show kali za viwango.

GOSPEL
Muziki wa Gospel/Injili ni moja ya muziki ambao una impact kubwa sana kwenye jamii na kibiashara upo juu kimauzo on digital platforms. Iweje Tuzo zisiwe na Category ya Gospel. Na Gospel artists wanatoa hadi albums.

Wekeni sawa haya mambo… @cosotatanzania @basata.tanzania

The Leader.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad