Waloienda Kutibiwa India Walibeba Dawa za Kulevya



Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kelevya (DCEA) imesema kuwa katika kipindi cha Ugonjwa wa Covid-19 baadhi ya watanzania walitumia mwanya huo kujifanya wagonjwa na kwenda kutibiwa nchini India ilhali wakiwa wamebeba dawa za kulevya.

Hata hivyo licha ya kutumia mbinu ya kupata vibali vya kutibiwa nje ya nchi walikamatwa kutokana intelejensia ya wakaguzi kutoka nchi mbalimbali zinazodhibiti dawa hizo.


Akizungumza leo Jijini Arusha wakati wa utoaji mafunzo kwa watumishi wa idara mbalimbali za serikali jana ikiwa Uhamasishaji wa Mradi wa Upunguzaji Madhara kwa watumiaji wa Dawa za Kulevya Mkoani Arusha, Kamishna Jenerali ,Gerald Kusaya alisema wasafirishaji wa dawa za kulevya wanambinu mbalimbali za kusafirisha dawa hizo lakini mamlaka hiyo imedhibiti.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad