Wananchi Waliamsha Tunisia Kupinga Rais Saied Kujiongezea Madaraka



Rais wa #Tunisia, Kais Saied, ameimarisha Madaraka yake dhidi ya Mahakama baada ya kutangaza Kanuni inayomruhusu kuwafukuza kazi Majaji au kuwazuia kupandishwa cheo

Mahakama ilisalia kama Mhimili pekee wa kuhoji vitendo vya Rais Saied ambaye mwaka 2021 alisimamisha shughuli zote za Bunge

Kutokana na hatua hiyo, maelfu wameandamana katika Mji Mkuu wa Nchi hiyo, #Tunis kupinga hatua iliyochukuliwa dhidi ya Mahakama


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad