Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Amwagiza Sirro Kuwasimamisha Kazi Maafisa wa Polisi Mtwara





#HABARI: Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemuagiza Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Simon Sirro awasimamishe kazi maafisa wa Polisi wa Mtwara akiwemo RPC, RCO na Kilindi ili kupisha uchunguzi wa mauaji yaliyotokea maeneo hayo. Timu hiyo itafanya kazi kwa siku 14 kuanzia kesho Jumamosi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad