Waziri Nape Nhauye Ayafungulia Magazeti ya MwanaHALISI, Tanzania Daima, Mseto na Mawio "Kifungo Kimetosha"


Waziri wa Habari na Mawasiliano ya Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ametoa leseni za kuanza kuchapishwa tena magazeti ya MwanaHALISI, Tanzania Daima, Mseto na Mawio.

Amekabidhi leseni katika kikao na wahariri, Dar es Salaam akisema, “kifungo kimetosha, kikubwa kazi iendelee.”
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad