"Wewe ni Wangu Milele" Nilisikia Akinong'oneza Mke Wangu


“Umdhaniaye ndiye siye” kwa miaka nane nimekua kwenye ndoa na mpenzi wangu  niliyempenda kama chanda na pete. Sikujua siku moja angefanya alichokifanya, kweli asante ya  punda ni mateke. 

Naishi katika mtaa wa Embakasi jijini Nairobi, hapo awali nilikua naishi pamoja na familia  yangu kule kakamega magharibi mwa Kenya, kwa kuwa nilikuwa nafanya kazi kulee magharibi,  kwa kawaida kwa shughuli za kikazi, niliweza kupata uhamisho wa pahala pa kazi kuenda  kuifanya kazi hiyo mjini Nairobi, kwa kuwa sikua na hela za kutosha niliamua kuiacha familia  yangu mashambani kuenda kwa shughuli za utaftaji wa kila siku, niliamua kufanya hivyo kwa  huwa siikua na hela za kutosha kuweza kukimu mahitaji yetu yote mjini. Hivyo nikaamua  wasalie nyumbani, mara kwa mara nilipopata nafasi niliwatembelea na kuwajulia hali na kurudi  mjini baada ya siku mbili tatu hivi. Kando na hayo mara kwa mara ningeweza kumpigia mke  wangu simu na kuzungumza naye kwa kuwa nilimpenda sana na nilitamani kuwa karibu naye  mara kwa mara ila shughuli za kikazi hazikuniruhusu. 

Kwa upande mungine muke wangu naye hakuachwa nyuma, mara kwa mara angenitumia jumbe  za mapenzi kwenye simu yangu na kunieleza jinsi anavyonipenda sana, nikikumbuka  yalivyokuwa mapenzi yetu kabla ya yaliotokea kutokea naeza sema yalikua mapenzi yasikuwa  na kifani, Jambo hilo lilinifanya mwenye furaha kila wakati na hivyo nilitia bidii kazini kuweza  kumtimizia chochote alichohitaji kwa kuwa nilimuahidi kuwa ningemueka vyema na furaha kila  wakati, baada ya mwaka moja hivi mambo yalianza kubadilika, mapenzi aliyokuwa ananionesha  mke wangu sarah yalibadilika, jumbe na simu aliyekuwa akinipigia mara kwa mara zilisitishwa,  nilipompigia simu hakuzichukua zote, zingine zilienda bila kujibiwa kwa vyovyote vile, jambo  hilo lilinioa kiwewe, na kushidwa nini mke wangu alikua anakifikiria kila wakati , nilishuku  kulikuwa na kitu fiche.

Kwa bahati nzuri niliweza kupata mapumziko ya wiki moja kazini, hivyo nikafunga safari ya  kwenda nyumbani bila ya kumfahamisha mke wangu, nilipofika kwangu nilipata lango kuu  limefungwa, nilimpigia simu haukuchutua hata! Alivyozoea , hivyo nikapenyeza kwenye ua na  kuingia kwa boma langu bila yeyeto kugundua, niliubisha mlango mara kadhaa, lakini  haukufunguliwa, nilishikwa na hofu kwa kudhani mke wangu alikua ameaga kumbe sivyo,  niliposonga kwenye dirisha la chumba chetu cha kulala, niliskia watu wakinong’onezana,  Niliiskia sauti ya mwanaume mle chumbani na kushtuka nini kilichokuwa kinaendelea, Niliupiga  mlango teke na kuingia chumbani mle ghafla nilimpata mwanaume akiwa chumbani mwangu nisijue nini alichokuwa anafanya chumbani mle, ghafla mume huyo alijihami kwa kisu na  kutishia kuniua, nilipoenda kumpiga mke wangu nilimpata ametoweka kwa kutumia mlango wa  nyuma, nilibaki wenye mafikira tele nisijue la kufanya. Kwa bahati nzuri nilipiga akili ya  kuweza kupata usaidizi kutoka kwa “Kiwanga doctors” waliokuwa wamenisaidia hapo awali,  nilimpigia daktari huyo simu na kumweleza kilichotokea, aliahidi kuyashughulikia kwa haraka,  siku tatu baaadaye, mke wangu alirejea nyumbani na kupiga magootii na kuomba msamaha kwa  aliyoyatenda, Mume huyo vile vile alinipigia simu na kuniomba msamaha , kwa uchungu  aliniambia mrija wake ulikua umefura na angeomba urudi salama, nilimsamehe na kumpigia  daktari kiwanga kumwarifu aurudishe salama, namshukuru daktari kiwanga kwa kulinda penzi  langu na mke wangu. Pia Dkt. Kiwanga anatibu magonjwa kama Kifua kikuu, kifafa na mengine  mengi kwa upande mungine anatatua mizozo ya familia, ndoa na pia kulinda mali katika boma  lako. 

Kwa mengi tembelea wavuti www.kiwangadoctors.com 

ama waweza kutuma barua pepe kwa  kiwangadoctors@gmail.com. 

Pia waweza kumpigia simu/WhatsApp kwa nambari  +254769404965.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad