Stephen Byabato ameliambia Bunge leo Februari 2, 2022 kupungua makali ya mgawo huo kunatokana na utafiti uliofanywa hivi karibuni. Ameongeza kuwa, Mabwawa yameanza kurudi katika hali nzuri ya kujazia sehemu zenye mahitaji
Mgawo huo ulitarajiwa kuanza Februari 1, 2022 kwa lengo la kufanya marekebisho ya Mitambo hali ambayo imezua malalamiko kutoka kwa Wananchi.