Yanga Hii Balaa Tupu, Mechi Nyingine na Ushindi Mnene


Vinara wa ligi kuu bara, Yanga SC wamerejea kwenye ubora wao baada ya kufanikiwa kupata ushindi wa goli 2-1 dhidi ya Biashara United kwenye kombe la shirikisho.


Magoli ya Yanga yamefungwa na Yanick Bangala (dakika23) na Fiston Mayele kufunga dakika ya 28, huku lile la biashara likifungwa na Opare dakika ya 37.


Yanga sasa wanasonga mbele lwenye hatua inayofuata kwenye michuano hiyo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad