Yanga Watoa Tamko, Shabiki wao Kupigwa



Klabu ya Yanga imetoa taarifa ya kusikitishwa na kitendo cha shabiki wake kufanyiwa vurugu, kupigwa na kuchaniwa jezi na mashabiki wa Klabu ya Simba katika mchezo wa Kombe la Shirirkisho Afrika baina ya Simba na Asec Mimosas uliofanyika Februari 13, 2022, katika uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam ambapo Klabu hiyo imelaani kitendo hicho huku ikiwataka mashabiki wake kutolipiza kisasi badala yake waendelee kudumisha utamaduni wao wa ustaarabu kwa kuwakaribisha mashabiki wenzao wa timu yoyote bila bugudha yoyote.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad