Zuchu Akimbiza Boom Play na Wimbo wa Mwambieni


Kutoka kwenye charts za mtandao wa @boomplaymusic_tz ambayo hutaja orodha ya nyimbo 100 (top100) zilizofanya vizuri kila week , ambapo wimbo wa MWAMBIENI' kutoka kwa @officialzuchu umefanikiwa kukamata nafasi ya kwanza katika chart hiyo ya nyimbo 100.

Katika Chart hiyo yenye nyimbo 100 zilizofanya vizuri nchini, wimbo wa Mi AMOR wa @marioo_tz umekamata nafasi ya pili ,huku UTU ya @officialalikiba ukishika nafasi ya 3.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad