Abiria Awasha Ndege Moto Ikiwa Angani..Mwenyewe Aruka Kabla Ndege Haijashika Moto


Mwaka 1933, Ndege ya shirika la ndege la Uingereza Imperial Airways ya Jiji la Liverpool inaaminika kuwa ndege ya kwanza iliyopotea kwa hujuma wakati abiria alipowasha moto kwenye bodi.

Ndege hiyo ilianguka karibu na Diksmuide, Ubelgiji, baada ya kuungua moto; wakati huo. Na tuhuma zilimhusu abiria huyo.

Albert Voss ambaye alionekana kuruka kutoka kwenye ndege kabla ya kuanguka.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad