Afande Sele Adai Bondia Twaha Kiduku ni MKubwa Kuliko Hassan Mwakinyo


Baada ya kukamilika kwa pambano la jana kati ya bondia Mtanzania, Twaha Rubaha Kassim (Twaha Kiduku) ambae liibuka mshindi kwa kumchapa kwa pointi bondia kutoka DR Congo, Alex Kabangu ,mwanamuziki anaeshikilia taji la mfalme wa Rhymes nchini @afandesele1976 ameibuka na madai ya kuwa huenda bondia #twahakiduku ni mkubwa kuliko bondia #HassanMwakinyoJr.

Afande Sele ambae ni mwanamuziki kutoka mkoa wa morogoro ameibua mjadala huo kwenye moja ya mahojiano aliyoyafanya baada ya pambano hilo usiku wa kuamkia leo ,akihoji kuwa kwanini bondia #HassanMwakinyoJr anapambana mapambano ya nje kuliko kupambana na mabondia wa ndani ambao anaamini wanaweza kumpa ushindani thabiti.

C©✍🏾@keviiiy.iam


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad