"Mange dada angu nakueshim sana mimi kama mdogo wako kama mwanamke mwezako hukupaswa kunidhalilisha nimekukosea Nin??kumbuka mimi pia ni mama cjajua nia na madhumuni yako ni nini sio mimi kabsaaa hata ukiangalia mimi nishavuka Uko unavyo fanya kitu kwa faida yako uwez kujua mwezako nimeichukuliaje msituumize jaman na cc ni binadam tunafamily tuna wakwe
pia kikubwa ivi vitu vinaishi unataka mwanangu aje aone vipi naombeni jaman sio mimi naomba sheria ifate mkondo wake nimechoka kuonewa jamani sio sio sio mimi jaman msipende kuamini kutokana na kututafsir kutokana na historia Haya maisha ya insta sio maisha yetu ni utafutaj wa pesa haimaanish cc malaya au ni kichaa kiasi ichoo jaman
vitu mnavyo tufanyia kama sio binadam hakuna utu wala huruma jamanðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ cjui mnataka kutuuwa au tuingie tuwe mateja ndo mtafurahii napambana kujenga jina langu kutafuta pesa kama mtoto wa kike nae fanya kaz kwa bidii leo mtu anataka kukuangusha kukudhalilisha bila sababu kwa maslai yake binafsiii daaaah mungu niokoe
Na ameni. Block kama ni kweli kwanini ani block
Hali yangu mbaya sana naomba mungu anisaidie tu kwa hili cjui nimewakosea nn???
Imenumiza sana hiii sijui hata nifanye nn?? Sio mimi"