Basata Imerudia Kosa Ambalo Tuzo za EATV Ilifanya Miaka Kadhaa la ili uwepo Kwa Tuzo lazima Uwasilishe Kazi zako, Hapo Ina Maana Kwamba Hata uwe na Hit Song Kubwa Kama hujapeleka Kazi basi wewe Tuzo sahau na ikapelekea Tuzo hizo kuonekana za Mchongo
Haya Sasa WCB na Wasanii wengine Ambao hawajapeleka Kazi Hawapo Katika Tuzo Hii inapelekea Tuzo kuonekana ni za Mchongo au hazifuati Uhalisia
Ni wazi kabisa Baadhi ya Wasanii Kutoka WCB Kama Zuchu na Rayvanny wanastaili kuwepo Katika Vipengele hivyo
Kutoka Kwa Mdau