Mwanamitandao maarufu Kutoka Nigeria @bobrisky222 ametangaza kuja tanzania kwa lengo la kukutan na mwanamuziki @diamondplatnumz mara baada kudai kuvutiwa na kipaji cha mwanamuziki huyo.
Kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram, mwanamitandao huyo ameShare picha ya @diamondplatnumz na kuambatanisha na ujumbe alio andika kwa lugha ya kiswahili, kuonesha namna anavyotamani kukutana na mwanamuziki huyo.