Chombo cha habari cha China kinachomilikiwa na serikali CCTV kimeripoti kuanguka kwa ndege ya Boeing 737 katika safu ya milima ya Guangxi. jitihada za uhokoaji zinaendelea.
Ndege hiyo inaripotiwa kuwa na abiria wapatao 133, inaaminika kupata ajali na kushika moto.
Bado haijafahamika watu wangapi wamejeruhiwa au kufariki mpaka sasa. Kumekuwepo na kusambaa kwa picha mbalimbali kwenye mtandao zikionyesha ndege hiyo ingawa bado mamlaka husika haijathibitisha picha hizo.
Taarifa kamili inakuja…