Bondia wa Tanzania Twaha Kiduku Amchakaza Mkongo Alex Kabanga
0
March 27, 2022
Bondia wa Tanzania Twaha Kiduku [@twaha_kiduku] ameshinda kwa pointi pambano la raundi nane (8) na kuvikwa ubingwa wa UBO baada ya kumtwanga bondia Alex Kabangu kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo🇨🇩
Tags