Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wabadili Gia Angani


Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na NCCR-Mageuzi vimethibitisha kuwa vitashiriki mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania baada ya hoja tano walizokuwa wakizilalamikia kuanza kufanyiwa kazi, ikiwemo kuachiwa kwa Freeman Mbowe.

Awali vyama hivyo vilisema havitoshiriki shughuli yoyote ya kisiasa ikiwemo zinazoandaliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kwa madai ya hoja zao kutokufanyiwa kazi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad