Diamondplatnumz ameingiza ngoma zote zinazopatikana kwenye EP yake kwenye nafasi kumi za juu kwenye chart ya ngoma zinazosikilizwa sana @applemusic sasahivi nchini Tanzania.
Namba moja ni #Melody huku nyingine zikufuatia,ngoma gani imekukosha zaidi kutoka kwenye hiyo EP..?