Diva Loveness "Niacheni na Mume Wangu Case Closed"


Mtangazaji wa Wasafi FM, Diva na aaÀ, Abdulrazak wameendelea kuwa topiki ambapo mwanadada huyo ameshindwa kuvumilia na kuvunja ukimya akitaka aachwe na mumewe.

Diva amesema; “Mkimaliza Kuniongelea kwenye hizo interview zenu looking for cheap publicity endeleeni na mambo yenu na mniache na mume wangu! Case closed…”
Kauli ya Diva inakuwa baada ya Mtangazaji wa Clouds FM na mwanamitandao almaarufu DC wa Insta, Mwijaku kudai kuwa ana shaka na uwepo wa ndoa hiyo.

Februari 14 (Valentine’s Day), mwaka huu, Diva alidai kufunga ndoa na jamaa huyo kwa mahari ya maua mengi, badala ya shilingi milioni 500 alizotangaza awali.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad